Click the attached link to interact with KOHO demo User Interface. Therefore, you will observe how koha integrated the library services. Cheers. http://intranet.bywatersolutions.com/.
Jifunze kwa kutazama hii demo video! Itakuwezesha kujua kwa urahisi ni jinsi gani KOHA inafanya kazi. Hivyo jifunze kubadilisha maktaba yako kutoka mfumo wa analog kwenda digital bila gharama zozote.
Students and researchers can access a full range of Journal databases
including full text articles, abstracting and indexing services. These
resources can be accessed from any computer terminal with Internet
connection anywhere. Use a web link to
access the specified resource.
Wapendwa habari! Hili tangazo ni kwa mtu yoyote , taasisi, mashirika kwa wanaohitaji ushauri au maonyesho (Demo) na hata kufungiwa ABCD OPEN SOURCE LIBRARY SOFWARE kwa matumizi ya kila siku ndani ya maktaba zetu.
ABCD OPEN SOURCE NI NINI? ABCD ni jina. kama ilivyo majina mengine ya library software. Hivyo KOHA, MANDARIN AU ADLIB HAYA YOTE NI MAJINA YA AINA ZA LIBRARY SOFTWARE.