Je huwa unasave password yako kwenye browser kama vile mozila firefox, safari, opera, chrome, Internet explorer na nyingine nyingi pale unapo login? Kama ndiyo basi upo kwenye hatari kubwa kwa sababu password hizo ni
rahisi kwa mtu kuziona akiwa na computer yako. Tutaangalia Mozila
firefox jinsi ambavyo mtu anaweza kuona password zilizohifadhiwa
kiurahisi.